0
Klabu za Manchester United na Liverpool za nchini Uingereza jioni hii ya leo zitakua zikiminyana kuwania alama tatu muhimu katika mikiki mikiki ya kuwania ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. 

Vilabu hivi viwili ni mahasimu wakubwa wa jadi wasiopikika chungu kimoja kwani ukiachilia mbali uhasimu wao wa uwanjani hadi nje ya uwanja vilabu hivi havipikiki chungu kimoja.

Vinapokutana vilabu hivi kejeli za kila aina huwa zinatawala lakini yote kwa yote ni hali inavyokuwa uwanjani kwa mashabiki wa timu zote mbili kushangilia kwa nguvu na kejeli nyingi. 

Ifuatayo ni baadhi ya michezo ambayo inabakia katika kumbukumbu za wapenzi na mashabiki wangi wa vilabu hivi viwili tangu kuasisiwa kwake.

1. Man United 2-1 Liverpool, 1977.
  
2.Liverpool 2-1 Man United, 1983.
  
3. Liverpool 3-3 Man United, 1988.

 
4. Liverpool 3-3 Man United, 1994.
  
5. Man United 2-2 Liverpool, 1995.

 
6. Man United 1-0 Liverpool, 1996.

 
7. Man United 2-1 Liverpool, 1999.

 
8. Man United 0-1 Liverpool, 2000.
  
9. Man United 1-4 Liverpool, 2009.
  
10. Man United 3-2 Liverpool, 2010.
 

Post a Comment

 
Top