Mbabane Swallows (Swaziland) v ZESCO United (Zambia) Séwé Sport (Ivory Coast) v AS Kaloum (Gui...
MPIRA KWELI MAPAMBANO.....TAZAMA JERAHA LA MARTIN SKRTEL ALILOSABABISHIWA NA GIROUD.
Hii ndio picha aliyopost Martin Skrtel kwenye mtandao wa Instagram ikionesha nyuzi nane alizoshonwa. Hii ndio faulo aliyochezewa Ma...
UNADHANI NANI ANASTAHILI KUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA WA ESPN.
Kituo cha utangazaji la nchini Marekani ESPN limewataja wanandinga takribani watano kutoka vilabu mbalimbali kuwania nafasi ya mchezaji ba...
MICHEZO 10 YA KUKUMBUKWA BAINA YA MANCHESTER UNITED NA LIVERPOOL.
Klabu za Manchester United na Liverpool za nchini Uingereza jioni hii ya leo zitakua zikiminyana kuwania alama tatu muhimu katika mikiki m...
SULUHISHO LA TATIZO LA KIUNGO CHA KLABU YA ARSENAL LAKARIBIA KUTATULIWA MUDA MCHACHE UJAO.
Klabu ya Arsenal inakaribia kumsajili kiungo Mbrazil Romulo anayekipiga kwenye klabu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi. Romulo ali...
MWEEEEEEE.........KWA HILI KWELI MPIRA HAUNA ADABU HATA KIDUCHU.
Alan Pardew ametajwa kuwa meneja bora wa mwezi wa 11 wa ligi kuu ya nchini Uingereza mara baada ya kuiongoza vyema klabu yake ya Newcastl...
VICTOR VALDES VS MANCHESTER UNITED KUNANI PALE?
Katika kile kinachoonekana kuwachanganya sana wadadisi wengi wa masuala ya soka Ulimwenguni, wafuatiliaji kadhaa wa masuala ya soka wamesh...
MANCHESTER UNITED YAMJAZA MAPESA DE GEA AENDELEE KUBAKIA UINGEREZA.
Mlinda mlango wa klabu ya Manchester United David De Gea huenda akawa golikipa anayelipwa mshahara mkubwa zaidi katika historia ya soka l...
UEFA YAINYUKA FAINI TOTTENHAM HOTSPURS.
Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza imepigwa faini ya kiasi cha paundi 11,870 na shirikisho la soka barani Ulaya, Uefa kutokana na kit...
MANCHESTER UNITED YAFIKIA MAKUBALIANO NA INTER MILAN KUMREJESHA NAHODHA WAKE NYUMBANI.
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumrejesha nahodha wake wa zamani aliyetimuka klabuni hapo mapema mwaka huu ...
THOMAS VERMAELEN AFANYIWA UPASUAJI WA TATIZO LAKE LA MISULI.
Mlinzi wa klabu ya Barcelona Thomas amefanyiwa tiba ya upasuaji wa tatizo lake la misuli lililokuwa linamsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa...
MICHEZO 17 BILA YA KUFUNGWA.......MAGALACTICO KWELI NOMA.
Klabu ya Real Madrid siku ya jana ilicheza mchezo wake wa 17 bila ya kufungwa na kuandikisha historia mpya wakiwa na wakati mzuri kwenye ...
PAUNDI MILIONI 50 KUMNG'OA EDSON CAVANI PSG WAKATI RADAMEL FALCAO AKIONESHWA MLANGO WA KUTOKEA MANCHESTER UNITED.
Imearifiwa kuwa klabu ya Manchester United inajiandaa kutuma ofa ya kiasi cha paundi milioni 50 kwenda kwa klabu ya PSG ya nchini Ufarans...
WENGER ATHIBITISHA THIERRY HENRY KUREJEA ARSENAL.
Kocha wa klabu ya Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amezungumzia uwezekano wa mshambuliaji wa zamani ya klabu hiyo anayekipiga kwenye klabu ...
FIFA YAWATAJA WATATU WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA.
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Manuel Neuer ndio wachezaji watatu waliotajwa na Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA kuwa ndio wacheza...
HII HAPA NDIO DROO YA AWALIYA MICHUANO YA AFRIKA HAPO MWAKANI.
Nchi 16 zinazotarajiwa kucheza fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika hapo mwakani kule nchini Equatorial Guinea siku chache ujazo zitawa...
WAKALA AMPELEKA THOMAS MULLER REAL MADRID.
Wakala wa FIFA mwenye nguvu sana katika masuala ya uwakala Francisco Gallardo amesema anatarajia kumuona mshambuliaji wa klabu ya B ...
SIKU ZA GIGGS NDANI YA OLD TRAFORD ZINAHESABIKA.
Siku za kuendelea kukinoa kikosi cha mashetani wekund wa Old Traford kwa meneja msaidizi wa timu ya Manchester United Ryan Giggs zinahesa...
WENGER UMEMENA VYEMA, MJUMUISHE MMOJA KATI YA VIUNGO HAWA UEPUKANE NA MAJANGA YANAYOKUKABILI.
Mara baada ya kupata ushindi kiduchu kwenye dimba la the Hawthorns siku ya jumamosi, Meneja wa klabu ya Arsenal Mfaransa Arsene Wenger am...