Klabu ya Real Madrid imemzuia mshambuliaji Cristiano Ronaldo kutembelea Morocco imethibitika. Taarifa zinadai kuwa mshambuliaji huyo ...
SAMMATA KWENYE MAZUNGUMZO NA OLYMPIQUE MARSEILLE.
Mshambuliaji wa klabu ya TP Mazembe Mbwana Samatta ambaye pia ni mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani yuko nchi...
MICHUANO YA CHAN YAENDELEA KUSHIKA KASI NCHINI RWANDA.
Michuano ya soka kuwania ubingwa wa bara Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani CHAN, inaendelea kupamba moto katika viwanja mba...
SIMBA YAFUZU HATUA YA 16 BORA YA MICHUANO YA SHIRIKISHO.
Simba leo imeifanyia kitu mbaya klabu ya Burkina Faso ya Morogoro kwa kuitandika mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Jamh...
OLD TRAFORD NI UWANJA WA KAWAIDA SANA KWA SASA TOFAUTI NA NYAKATI ZETU-RONALD KOEMAN.
Meneja wa klabu ya Southampton Ronald Koeman amedai kuwa Old Trafford sio tena miongoni mwa viwanja vya kutisha unaposafiri na timu yak...
REAL MADRID NDIO KLABU TAJIRI ZAIDI DUNIANI.
Real Madrid ndio klabu inayojiingizia mapato mengi kuliko klabu yoyote katika mchezo wa mpira wa miguu duniani kwa mujibu wa jarida la ...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOIVAA BUKINAFASO HIKI HAPA.
Simba chini ya kocha Jackson Mayanja itaingia kwa nguvu katika mchezo wa leo ikitaka kuendeleza wimbi lake la ushindi wa mechi mbili mful...
NIYONZIMA AREJEA KUNDINI RASMI YANGA.
Kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima ameanza mazoezi na wenzake leo baada ya uongozi kukubali msamaha aliouomba mchezaji huyo...
SIMBA USO KWA USO NA BUKINAFASO HAPO KESHO KWENYE MICHUANO YA SHIRIKISHO.
Mechi za michuano ya kombe la FA, hatua ya 32 bora kuelekea 16 bora zimepangwa kuchezwa wikiendi hii Jumamosi na Jumapili katika viwanja...
KILA NIKIITAZAMA MAJIMAJI YANGU MOYO UNANIUMA NA NAFSI INANISUTA.
Na Oswald Ngonyani Moja ya vitu vikubwa ambavyo vilinifanya nihamanike kuvishuhudia katika Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu VP...
BILA YA HURUMA YANGA YAIBAMIZA NAJIMAJI 5 BILA.
Ikicheza kama vile iko nyuma kwa mabao kadhaa, Yanga leo imeisambaratisha bila huruma Majimaji ya Songea mabao 5-0 katika mchezo wa lig...