Mabingwa watetezi Real Madrid wana kibarua cha ziada kuwachapa majirani wao Atletico Madrid katika jaribio la nane msimu huu ili kufuzu ...
RUFANI YA MWANASHERIA DAMAS NDUMBARO KUSIKILIZWA MEI 10.
Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la soka Tanzania TFF iliyokutana Aprili 19, 2015 imepanga kusikilizwa kwa rufaa ya Damas Ndumbaro Mei 10 ...
GORAN KOPUNOVIC AKIRI UWEPO WA PENGO LA OKWI KWENYE MCHEZO DHIDI YA MBEYA CITY.
KOCHA Goran Kopunovic wa Simba amesema kukosekana kwa mshambuliaji wa Kiganda kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City ndiko kuliko sababisha ...
JERRY MURO ATAMBA YANGA KUENDA TUNISIA WAKIWA MABINGWA
KLABU ya Yanga imetamba kushinda mechi zake zote tatu kabla haijakwenda Tunisia kurudiana na Etoile du Sahel katika michuano ya Kombe l...
MNAOITUHUMU MAJIMAJI KUPENDELEWA SONGEA HOJA ZENU HAZINA MASHIKO, FANYENI UCHUNGUZI KABLA YA KUSEMA.
FOOTBALL
MNAOITUHUMU MAJIMAJI KUPENDELEWA SONGEA HOJA ZENU HAZINA MASHIKO, FANYENI UCHUNGUZI KABLA YA KUSEMA.
Ligi daraja la kwanza hatua ya lala salama imeendea kushika kasi katika viwanja mbalimbali huku ikishuhudiwa vilabu kadhaa vikionesha nia t...
YANGA MPYA KUANZA HUONESHA MAKALI YAKE DHIDI YA RUVU SHOOTING KESHO.
TIMU ya Yanga kesho inashuka uwanja wa taifa Dar es Salaam kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani huo ukiwa ni mchezo wa raundi ya tisa kwa ti...
JE SIMBA KUENDELEZA UBABE WAKE ALIOTOKA NAOKWENYE MAPINDUZI DHIDI YA NDANDA FC KESHO?
Simba tayari wamewasili Mtwara tangu juzi Alhamisi kwa ajili ya pambano hilo ambalo litakuwa la kwanza kwa kocha mpya wa timu hiyo Gora...
STANDI UNITED VS AZAM HATUMWI MTOTO DUKANI.
Azam FC wanapewa nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu katika mchezo huo lakini lolote linaweza kutokea kutokana na uimara wa kikosi ...
HAYA NI MAJANGA MAPYA ARSENAL.
Nahodha wa Arsenal Mikel Arteta atakaa nje miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji kifundo chake cha mguu wa kushoto ambacho kimemuweka ...
IKIWA NI SIKU TATU TU TANGU ATWAE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA RONALDO ATWAA TUZO NYINGINE TENA.
Cristiano Ronaldo wa Real Madrid ametwaa tuzo nyingine katika kipindi cha siku tatu zilizopita baada ya kutajwa kuwa mchezaji bora ...
FERNANDO TORRES "ELNINYO", JIWE LILILOWASHINDA WAASHI LILILOGEUKA KUWA JIWE LA MSINGI
Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema Fernando Torres amerejea kuwa ''mwanaume'' ndivyo alivyomuita hivyo ba...
KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA RWANDA ABWAGA MANYANGA.
Mwalimu wa timu ya taifa ya Rwanda, Stephen Constantine amejiuzuru kuwa kocha watimuhiyo amethibitisha msemaji wa chama cha soka cha Rwan...
HUU NDIO MSIMAMO WA LIGI DARAJA LA KWANZA 2014-2015.
First Division League-Group A Season: 2014-2015 Table Pos Team Pld W T L Goals Diff Pts 1 • ...
VAN PLUIJM AIFUNGIA KAZI SAFU YA USHAMBULIAJI YA YANGA.
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm ameonekana kuifungia kazi safu yake ya ushambuliaji kwa kutaka ifunge mabao mengi katika kila nafa...


