0
MCHONGO UMEKAMILIKA RASMI ETO'O ATUA LIVERPOOL. MCHONGO UMEKAMILIKA RASMI ETO'O ATUA LIVERPOOL.

Samuel Eto'o ameamua kuchukua maamuzi magumu kwa kuamua kuichagua klabu ya Liverpool licha ya kupokea pia ofa kabambe kutoka klabu ya ...

SOMA ZAIDI »

0
WEST BROMWICH ALBION YAMNASA MGIRIKI GEORGIOS SAMARAS. WEST BROMWICH ALBION YAMNASA MGIRIKI GEORGIOS SAMARAS.

West Brom  imethibitisha kumnasa mshambuliaji Georgios Samaras kwa mkataba wa miaka miwili. Samaras amejiunga na timu hiyo akiwa kam...

SOMA ZAIDI »

0
FURAHA YAKARIBIA KUREJEA MANCHESTER UNITED. FURAHA YAKARIBIA KUREJEA MANCHESTER UNITED.

Manchester Unitd rasmi imingia mazungumzoni na klabu ya Real Madrid yenye lengo la kuwanyakua Angel di Maria na Sami Khedira kutoka kwa M...

SOMA ZAIDI »

0
MILAN YAMGEUKIA CHICHARITO KAMA MRITHI WA BALOTELLI. MILAN YAMGEUKIA CHICHARITO KAMA MRITHI WA BALOTELLI.

Klabu ya AC Milan inamtazama mshambuliaji Javier Hernandez (Chicharito) kama ndio mrithi sahihi wa mshambuliaji Mario Balotelli anayetimu...

SOMA ZAIDI »

0
BALOTELLI + ETO'O, LIVERPOOL HAISHIKIKI MSIMU HUU. BALOTELLI + ETO'O, LIVERPOOL HAISHIKIKI MSIMU HUU.

Liverpool imetangaza rasmi kuwa iko kwenye hatua za mwisho za kufanya mazungumzo yenye nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Ch...

SOMA ZAIDI »

0
MANCHESTER UNITED YAMGEUKIA XABI ALONSO. MANCHESTER UNITED YAMGEUKIA XABI ALONSO.

Manchester United wanamtazma kiungo veterani wa klabu y a Real Madrid Xabi Alonso kama ni tiba mbadala ya pen...

SOMA ZAIDI »

0
ROY HODGSON AWAPA USHAURI WA BURE WACHEZAJI WAKIINGEREZA. ROY HODGSON AWAPA USHAURI WA BURE WACHEZAJI WAKIINGEREZA.

Kocha wa timu ya taifa ta Uingereza Roy Hodgson amewapa ushauri wa bure wachezaji wa kiingereza kutoka na kue...

SOMA ZAIDI »

0
MAN UNITED KAZI KWAO,DI MARIA AOMBA KUONDOKA NDANI YA SANTIAGO BERNABEU. MAN UNITED KAZI KWAO,DI MARIA AOMBA KUONDOKA NDANI YA SANTIAGO BERNABEU.

...

SOMA ZAIDI »

0
MANCHESTER UNITED YAVUNJA REKODI YAKE YA USAJILI. MANCHESTER UNITED YAVUNJA REKODI YAKE YA USAJILI.

Kitendo cha klabu ya Manchester United's kukamilisha usajili wa mlinzi Marcos Rojo kutoka klabu ya Sporting Lisbon kwa ada ya uhamisho...

SOMA ZAIDI »

0
DEAL DONE.BAROTELLI ATUA LIVERPOOL KWA PAUNDI MILION 16. DEAL DONE.BAROTELLI ATUA LIVERPOOL KWA PAUNDI MILION 16.

Liverpool imefikia makubaliano na klabu ya AC Milan ya manunuzi ya Mario Barotelli kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 16. Barotell...

SOMA ZAIDI »

0
ARSENAL WATAKIWA KUWEKA MZIGO WA PAUNDI 14M KUPATA HUDUMA ZA TIOTE. ARSENAL WATAKIWA KUWEKA MZIGO WA PAUNDI 14M KUPATA HUDUMA ZA TIOTE.

Newcastle imeitaja thamani halisi ya kiungo wake raia wa Ivory Coast Cheick Tiote kuwa ni paundi milioni 14 na sio 4 kama ambavyo klabu y...

SOMA ZAIDI »

0
BARCELONA YAPAMBANA KUWASAINISHA REUS NA CUADRADO KABLA YA ADHABU. BARCELONA YAPAMBANA KUWASAINISHA REUS NA CUADRADO KABLA YA ADHABU.

Barcelona i napambana kuwasainisha viungo wa Borussia Dortmund na Fiorenti...

SOMA ZAIDI »

0
SOUTHAMPTON MEZA MOJA NA UNITED KUHUSU CHICHARITO SOUTHAMPTON MEZA MOJA NA UNITED KUHUSU CHICHARITO

Meneja wa klabu ya Southampton Ronald Koeman anasubiri jibu kutoka kwa mabosi wa klabu ya Manchester United kuhusiana na dili la mauzo ...

SOMA ZAIDI »

0
RONALDO AMZUIA DI MARIA KUJIUNGA NA MAN UNITED. RONALDO AMZUIA DI MARIA KUJIUNGA NA MAN UNITED.

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Christiano Ronaldo amemshauri mchezaji mwenza wa Real Madrid Angel di Maria kuachana na n...

SOMA ZAIDI »

0
MASIKINI DROGBA.......HUENDA AKAWA BENCHI MIEZI MINNE. MASIKINI DROGBA.......HUENDA AKAWA BENCHI MIEZI MINNE.

Klabu ya Chelsea inahofia kuwa huenda ikazikosa huduma za mshambuliaji mpya iliyemnasa kutokea klabu ya Garatasaray ya huko nchini Utoruk...

SOMA ZAIDI »
 
 
Top