0
MASAA MACHACHE KABLA YA KUTUA UGANI HII NDIO TATHIMINI FUPI YA YANGA NA COASTAL UNION. MASAA MACHACHE KABLA YA KUTUA UGANI HII NDIO TATHIMINI FUPI YA YANGA NA COASTAL UNION.

KOCHA Hans van der Pluijm, leo Jumapili ataingia majaribuni ya kutetea ubingwa wake wa Ligi ya Vodacom Tanzania bara wakati itakapokuwa...

SOMA ZAIDI »

0
MIAKA 20 IMETIMIA LEO TANGU DENIS BERGKAMP AONDOKE ARSENAL HII NI KUMBUKUMBU YA MDACHI HUYO. MIAKA 20 IMETIMIA LEO TANGU DENIS BERGKAMP AONDOKE ARSENAL HII NI KUMBUKUMBU YA MDACHI HUYO.

Dennis Bergkamp alisajiliwa na Meneja wa wakati huo wa  Arsenal  Bruce Rioch kwa ada ya paundi milioni 7.5mnamo mwezi June 1995. Ali...

SOMA ZAIDI »

0
STARS YAPIGWA MIGUU YA BAJAJI NA THE CRANES, TFFYAMTOA KAFARA MARTIN NOOIJ KWA KUMFUNGASHIA VIRAGO. STARS YAPIGWA MIGUU YA BAJAJI NA THE CRANES, TFFYAMTOA KAFARA MARTIN NOOIJ KWA KUMFUNGASHIA VIRAGO.

Kamati ya utendaji ya Shirikishi la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine ilipitia mwenendo wa ...

SOMA ZAIDI »

0
ABASALIM CHIDIEBELE RASMI ATUA COASTAL UNION. ABASALIM CHIDIEBELE RASMI ATUA COASTAL UNION.

HATIMAYE timu ya Coastal Union imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Stand United Mnigeria Abasalim Chidiebele kwa kumpa mkataba wa mw...

SOMA ZAIDI »

0
MCHEZAJIWA JAMAICA AOMBA KUJI SELFIE NA LIONEL MESSI BAADA YA MECHI INGEKUA VIPI KAMA ANGEKUA MCHEZAJI WA STRARS NDIO KAFANYA HIVYO? MCHEZAJIWA JAMAICA AOMBA KUJI SELFIE NA LIONEL MESSI BAADA YA MECHI INGEKUA VIPI KAMA ANGEKUA MCHEZAJI WA STRARS NDIO KAFANYA HIVYO?

Deshorn Brown akijiselfie na Lionel Messi mara baada ya mchezo ambao timu yake ya taifa ya Jamaica (Raggae Boys) walifungwa goli 1:0 ...

SOMA ZAIDI »

0
DANGOTE JINO KWA JINO NA ARSENAL. DANGOTE JINO KWA JINO NA ARSENAL.

Mmmoja kati ya matajiri wa bara la Afrika Aliko Dangote amesisitiza kuwa bado hajakata tama katika mpango wake wa kutaka kuinunua klabu ...

SOMA ZAIDI »

0
LICHA YA CHAPOMBE VIDAL KUPATA AJALI YA GARI CHILE WAFUZU KWAAJILI YA ROBO FAINALI. LICHA YA CHAPOMBE VIDAL KUPATA AJALI YA GARI CHILE WAFUZU KWAAJILI YA ROBO FAINALI.

  Wenyeji Chile waliweka kando sakata ya ajali ya gari ya nyota wao Arturo Vidal akiwa amelewa na kupambana kuhakikisha kuwa wanaingia r...

SOMA ZAIDI »

0
MANENO YA FERDINAND YANA UKWELI NDANI YAKE KUHUSIANA NA WACHEZAJI WA ENGLAND. MANENO YA FERDINAND YANA UKWELI NDANI YAKE KUHUSIANA NA WACHEZAJI WA ENGLAND.

Wakati washambuliaji wawili raia wa Uingereza wakiwa ndio habari ya mjini kwenye medani za soka na usajiri nchini humo kumeibuka m...

SOMA ZAIDI »

0
TFF YAIDHINISHA WACHEZAJI SABA KWENYE LIGI KUU MSIMU UJAO. TFF YAIDHINISHA WACHEZAJI SABA KWENYE LIGI KUU MSIMU UJAO.

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeongeza idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kutoka watano hadi saba...

SOMA ZAIDI »

0
NEYMAR AONESHWA KUWA JEURI DAWAYAKE KIBURI. NEYMAR AONESHWA KUWA JEURI DAWAYAKE KIBURI.

Neymar hatacheza tena katika michuano ya Copa America msimu huu akiwa na Brazil. Hiyo inatokana na mchezaji huyo kufungiwa mechi nne ...

SOMA ZAIDI »

0
MAPUNDA AKUBALI KUSAINI MKATABA MPYA SIMBA. MAPUNDA AKUBALI KUSAINI MKATABA MPYA SIMBA.

KIPA Ivo Mapunda amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Simba msimu ujao baada ya uongozi wa timu hiyo kuridhish...

SOMA ZAIDI »

0
REAL MADRID VS ATLETICO MADRID HATUMWI MTOTO DUKANI KESHO. REAL MADRID VS ATLETICO MADRID HATUMWI MTOTO DUKANI KESHO.

Mabingwa watetezi Real Madrid wana kibarua cha ziada kuwachapa majirani wao Atletico Madrid katika jaribio la nane msimu huu ili kufuzu ...

SOMA ZAIDI »

0
RUFANI YA MWANASHERIA DAMAS NDUMBARO KUSIKILIZWA MEI 10. RUFANI YA MWANASHERIA DAMAS NDUMBARO KUSIKILIZWA MEI 10.

Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la soka Tanzania TFF iliyokutana Aprili 19, 2015 imepanga kusikilizwa kwa rufaa ya Damas Ndumbaro Mei 10 ...

SOMA ZAIDI »

0
GORAN KOPUNOVIC AKIRI UWEPO WA PENGO LA OKWI KWENYE MCHEZO DHIDI YA MBEYA CITY. GORAN KOPUNOVIC AKIRI UWEPO WA PENGO LA OKWI KWENYE MCHEZO DHIDI YA MBEYA CITY.

KOCHA Goran Kopunovic wa Simba amesema kukosekana kwa mshambuliaji wa Kiganda kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City ndiko kuliko sababisha ...

SOMA ZAIDI »

0
JERRY MURO ATAMBA YANGA KUENDA TUNISIA WAKIWA MABINGWA JERRY MURO ATAMBA YANGA KUENDA TUNISIA WAKIWA MABINGWA

KLABU ya Yanga imetamba kushinda mechi zake zote tatu kabla haijakwenda Tunisia kurudiana na Etoile du Sahel katika michuano ya Kombe l...

SOMA ZAIDI »
 
 
Top