Mmmoja kati ya matajiri wa bara la Afrika Aliko Dangote amesisitiza kuwa bado hajakata tama katika mpango wake wa kutaka kuinunua klabu ya Arsenal
Dangote,
ambaye ni tajiri wa 67 ulimwenguni akiwa na utajiri wenye thamani ya paundi bilioni 12 ameshindwa kuuficha mpango wake huo wa kutaka kuinunua klabu ya Arsenal na amesema kuwa atahakikisha kuwa anakamilisha mpango wake huo wa kutaka kuinunua klabu hiyo.
Post a Comment