0




Revealed: Lionel Messi's on-pitch selfie with Deshorn BrownDeshorn Brown akijiselfie na Lionel Messi mara baada ya mchezo ambao timu yake ya taifa ya Jamaica (Raggae Boys) walifungwa goli 1:0


Haya ndio maneno aliyoyaandika Deshorn Brown baada ya mchezo huo kwenye ukurasa ake rasmi wa mtandao wa tweeter.

Matokeo sio inshu cha maana nikuonana na kucheza na mchezaji bora wa dunia hapa ni full shwngwe licha ya kupoteza mchezo huo.

Post a Comment

 
Top