Hatua hii imechukuliwa kwa mujibu wa ibara ya 266,267 na 268 ya Kanuni za Utumishi za TFF toleo la mwaka 2015.
Ikumbukwe siku za hivi karibuni kumetokea tukio la kuvuja kwa sauti iliyorekodiwa ambayo ndani ya sauti hiyo kiongozi huyo wa juu wa TFF anasikika akiwa kwenye kikao na viongozi wanaosadikiwa kuwa ni wa timu ya Geita Gold Mining wakiwa wanapanga mipango ambayo kwa namna moja au nyingine inaonesha kuwa ni yaupangaji wa matokeo.
Post a Comment