Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii. Wagonga wa nyundo wa Lo...
MATOKEO YA MICHEZO YA EUROPA YA HAPO JANA HAYA HAPA.
Michezo minne ya robo fainali ya michuano ya Europa ligi imechezwa katika viwanja vinne tofauti usiku wa jana. Liverpool wakiwa ugen...
RATIBA YA LIGI YA MABINGWA BARANI AFRIKA WIKIENDI HII.
Jumamosi 09 April 2016 Asec Mimosas v Ahly Tripoli Stade Robert Champroux 15:30 Young Africans v Al Ahly Dar Es Salaam 16:00 Stade Ma...
SAKATA LA UPANGAJI MATOKEO LACHUKUA SURA MPYA, MATANDIKA OUT TFF.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amemsimamisha Juma Matandika kupisha uchunguzi kuhusu tuh...
KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA AL AHALY HAYA NDIO MANENO YA NAHODHA NADIR HAROUB ALLY "CANAVARO"
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema yupo fiti kukabiliana na straika hatari wa wapinzani wao hao, Mgabon, Malick Evouna,...
TAIFA STARS YASHUKA KWENYE VIWANGO VYA FIFA.
Kenya imeshuka hatua 12 kwenye msimamo wa viwango vya FIFA vilivyotolewa mwezi huu huku Tanzania ikishuka kwa hatua 5 kwenye orodha ya v...
KAPOMBE KUPAA KWENDA SOUTH KWA MATIBABU, KUWAKOSA ESPERANCE.
Klabu ya Azam Fc inatarajia kumkosa beki wake wa pembeni mwenye uwezo wa kucheza kama kiungo mkabaji Shomary Kapombe kwenye michezo yote ...
NDANDA WAKICHACHISHA KIPOLO CHA AZAM CHAMAZI.
TIMU ya soka ya Azam Fc imebanwa mbavu na Ndanda Fc kwa kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa kiporo wa ligi kuu ya Vodacom uliopigw...
MANNY PACQUIAO ASISITIZA KUACHANA NA NGUMI BAADA YA PAMBANO LAKE NA BRADLEY.
Mwanamasumbwi Manny Pacquiao amesema miezi 11 aliyokaa nje ya ulingo akiuguza majeraha yake mara baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya ...
KIIZA NA JUUKO MATATANI SIMBA.
Wachezaji wa Simba Hamisi Kiiza na Juuko Murshid, wote raia wa Uganda huenda wakasimamishwa na kukatwa mshahara na uongozi wa timu hiyo ...
MAJIMAJI KAMILI KUIVAA COASTAL UNIONI LEO MJINI SONGEA.
Klabu ya Majimaji ya mjini Songea leo hii itajitupa kwenye dimba lake la nyumbani la Majimaji kutupa karata yake kwa mara nyingine tena ...
HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA LIGENDARI CESARE MALDINI.
Mashabiki wa mpira wa miguu duniani wametoa heshima zao za mwisho kwa aliyekua mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa Italy na klabu ya AC M...
TORRES AILAUMU UEFA KWA KUSHINDWA KUWAPANGA WAAMUZI WENYE VIWANGO.
Mshambuliaji Fernando Torres usiku wa jana alitoka kwenye ushujaa mpaka mlaumiwa kwenye mchezo wa timu yake ya Atletico Madrid dhidi ...
MOURINHO AWATAKA MAN U WAMUHAKIKISHIE KIBARUA.
Aliyekuwa kocha waklabu ya Chelsea Jose Mourinho. Kocha aliyefungashiwa virago na klabu ya Chelsea Jose Mourinho amesema anataka athibi...
AL-FAHIM ATANGAZWA KUWA MWENYEKITI MTENDAJI WA AFRICAN LYON.
Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashirik...
MAJIMAJI SELEBUKA YAWA GUMZO TENA MJINI SONGEA 2016
MAJIMAJI SELEBUKA YAWA GUMZO TENA MJINI SONGEA 2016 Maji maji Selebuka ni tamasha linaloandaliwa na kampuni binafsi iit...