Simba imefikia makubaliano na Azam FC ili kumtwaa Majwega raia wa Uganda, akipige Msimbazi.
Makubaliano hamefikiwa baada ya kikao kizito kilichofanyika jijini
Dar es Salaam Jumatatu jioni baina ya Simba na Azam FC na kufikia
mwafaka kuhusiana na Majegwa.
Bado kila upande umekuwa ukifanya siri, lakini taarifa zinaeleza
kwamba Mganda huyo ameishapewa taarifa na sasa kinachofuatia ni
kumalizana kwa kila upande kwa vitendo.
Majegwa alirejea nchini na kuomba kufanya mazoezi na Simba ili kulinda kiwango chake.
Lakini Azam FC ilianza kulalamika kwamba ni mchezaji wao lakini bado Majengwa aliweka msimamo kwamba angependa kucheza Simba na Azam FC wamwache.
Lakini Azam FC ilianza kulalamika kwamba ni mchezaji wao lakini bado Majengwa aliweka msimamo kwamba angependa kucheza Simba na Azam FC wamwache.
Post a Comment