SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini
(TFF) linatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka kwenye Ukumbi wa Hoteli
ya Regal Naivera jijini Tanga ambapo wajumbe wa mkutano huo tayari
walishatumiwa taarifa za mkutano.
Akizungumza na waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa mikutano wa TFF, Kaimu Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, Elliud Mvela amesema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea vizuri.
Mvella amesema ajenda za mkutano mkuu wa kawaida ni zile zilizopo kikatiba, ila itaongezeka ajenda ya marekebisho ya katiba ambayo ni mapendekezo yaliyotolewa na FIFA.
Agenda za mkutano mkuu ni:
1. Kufungua Mkutano.
2. Uhakiki wa Wajumbe.
3. Kuthibitisha Ajenda.
4. Kuthibitisha Muhtsari wa Mkutano Mkuu uliopita.
5. Yatokanayo na Mkutano uliopita.
6. Hotuba ya Rais.
7. Ripoti kutoka kwa Wanachama
8. Kuthibitisha ripoti ya utekelezaji wa Kamati ya Utendaji.
9. Kuthibitisha ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu 2013.
10. Kupitisha bajeti ya 2016
11. Marekebisho ya Katiba
12. Mengineyo
13. Kufunga Mkutano.

Post a Comment