Dennis Bergkamp alisajiliwa na Meneja wa wakati huo wa Arsenal Bruce Rioch kwa ada ya paundi milioni 7.5mnamo mwezi June 1995. Ali...
STARS YAPIGWA MIGUU YA BAJAJI NA THE CRANES, TFFYAMTOA KAFARA MARTIN NOOIJ KWA KUMFUNGASHIA VIRAGO.
Kamati ya utendaji ya Shirikishi la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine ilipitia mwenendo wa ...
ABASALIM CHIDIEBELE RASMI ATUA COASTAL UNION.
HATIMAYE timu ya Coastal Union imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Stand United Mnigeria Abasalim Chidiebele kwa kumpa mkataba wa mw...
MCHEZAJIWA JAMAICA AOMBA KUJI SELFIE NA LIONEL MESSI BAADA YA MECHI INGEKUA VIPI KAMA ANGEKUA MCHEZAJI WA STRARS NDIO KAFANYA HIVYO?
Deshorn Brown akijiselfie na Lionel Messi mara baada ya mchezo ambao timu yake ya taifa ya Jamaica (Raggae Boys) walifungwa goli 1:0 ...
DANGOTE JINO KWA JINO NA ARSENAL.
Mmmoja kati ya matajiri wa bara la Afrika Aliko Dangote amesisitiza kuwa bado hajakata tama katika mpango wake wa kutaka kuinunua klabu ...
LICHA YA CHAPOMBE VIDAL KUPATA AJALI YA GARI CHILE WAFUZU KWAAJILI YA ROBO FAINALI.
Wenyeji Chile waliweka kando sakata ya ajali ya gari ya nyota wao Arturo Vidal akiwa amelewa na kupambana kuhakikisha kuwa wanaingia r...
MANENO YA FERDINAND YANA UKWELI NDANI YAKE KUHUSIANA NA WACHEZAJI WA ENGLAND.
Wakati washambuliaji wawili raia wa Uingereza wakiwa ndio habari ya mjini kwenye medani za soka na usajiri nchini humo kumeibuka m...
TFF YAIDHINISHA WACHEZAJI SABA KWENYE LIGI KUU MSIMU UJAO.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeongeza idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kutoka watano hadi saba...
NEYMAR AONESHWA KUWA JEURI DAWAYAKE KIBURI.
Neymar hatacheza tena katika michuano ya Copa America msimu huu akiwa na Brazil. Hiyo inatokana na mchezaji huyo kufungiwa mechi nne ...