
Arsenal wanaimani ya kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon, William Carvalho kabla ya Jumaatatu siku ambayo ndio utakua mwisho wa usajili ...
Arsenal wanaimani ya kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon, William Carvalho kabla ya Jumaatatu siku ambayo ndio utakua mwisho wa usajili ...
Mlinzi mpya wa klabu ya Manchester United, Marcos Rojo bado anaendelea kusota ndani ya jiji la Madrid akitarajia kupata visa itakayomweze...
Loic Remy amekamilisha uhamisho wa paundi milioni 8 na rasmi sasa anatua darajani kama mbadala wa Fernando Torres aliyetimukia klabu ya A...
Daley Blind anatarajia kujiunga na klabu ya Manchester United kutoka klabu ya Ajax kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 13.8. ...
Beji ya unahodha ikiwa imewekwa kwa muhusika.
Frank Lampard mwenye umri wa miaka 36 kwa sasa ametangaza rasmi kuachana na soka la kimataifa hii leo akiwa tayari amekwisha itumikia timu ...
Klabu ya Arenal inahofu ya kumkosa dimbani mshambuliaji wake Mfaransa Olivier Giroud kwa takribani miezi mitatu kutokana na kuwa na tatiz...
Diego Simeone amepewa adhabu ya mwana ukome ya kutokukaa katika benchi la ufundi kwa michezo minane baada kutolewa nje kwa kosa la kumpi...
1.Gareth Bale Tottenham- Real Madrid = Paundi Milioni 86 2.Cristiano Ronaldo Manchester United-Real Madrid =Paundi milion...
Klabu ya Manchester United inaonekana kuwa tayari kuwajumuisha washambuliaji Danny Walbeck na Javi...
Mabingwa wa Ujerumani klabu ya Bayern Munich wanaonekana kuwa mstari wa mbele k...
Paul Gascoigne Gazza amelazwa tena hospitali kwa mara nyingine mara baada ya kuokwotwa na wana usalama akiwa chakari kutokana na kunywa p...