0
Uefa imetangaza majina ya wachezaji wanaowania kuteuliwa kuingia kwenye timu ya Uefa ya mwaka ambapo klabu ya barcelona inaonekana kutawala kila idara kwa kuingiza wachezaji takribani wanane.

wachezaji wa Barcelona walioteuliwa katika orodha hiyo ni pamoja na Lionel Messi, Neymar, Luis Suarez, Dani Alves, Gerard Pique, Javier Mascherano, Andres Iniesta na Ivan Rakitic, wakati Joe Hart ndiye mwingereza pekee aliyeingia kwenye mchakato huo.

Wachezaji wanaotoka ligi kuu ya nchini Uingereza ni pamoja na Eden Hazard, Alexis Sanchez, Sergio Aguero pamoja na Kevin De Bruyne.

                                                           WALINDA MLANGO


Denys Boyko (Dnipro), Gianluigi Buffon (Juventus), Joe Hart (Man City) na Manuel Neuer (Bayern Munich)

                                                          WALINZI.


David Alaba (Bayern Munich), Dani Alves (Barcelona), Jerome Boateng (Bayern Munich), Leonardo Bonucci (Juventus), Giorgio Chiellini (Juventus), Diego Godin (Atletico Madrid), David Luiz (PSG), Javier Mascherano (Barcelona), Gerard Pique (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid), Ricardo Rodriguez (Wolfsburg) na Thiago Silva (PSG)

                                                               VIUNGO.


Hakan Calhanoglu (Bayer Leverkusen), Kevin De Bruyne (Manchester City), Eden Hazard (Chelsea), Andres Iniesta (Barcelona), James Rodriguez (Real Madrid), Yevhen Konoplyanka (Sevilla), Grzegorz Krychowiak (Sevilla), Claudio Marchisio (Juventus), Paul Pogba (Juventus), Ivan Rakitic (Barcelona), Marco Verratti (PSG) na Arturo Vidal (Bayern Munich)

                                                        WASHAMBULIAJI.


Sergio Aguero (Manchester City), Gareth Bale (Real Madrid), Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Zlatan Ibrahimovic (PSG), Robert Lewandowski (Bayern Munich), Lionel Messi (Barcelona), Alvaro Morata (Juventus), Thomas Muller (Bayern Munich), Neymar (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Alexis Sanchez (Arsenal) na Luis Suarez (FC Barcelona)

Post a Comment

 
Top