Kama vile hiyo haitoshi, Messi akafunga mara mbili huku Luis Suarez nae akifunga mara mbili wakati Gerard Pique na Adriano wakifunga mara moja kila mmoja.
Bao pekee la Roma lilifungwa na Eden Dzeko dakika ya 90, dakika nane baada ya mshambuliaji huyo kupoteza mkwaju wa penati.
Huo ulikuwa mchezo wa kundi E ambao ulishuhudia pia timu za BATE Borisov na Bayer Leverkusen zikitoshana nguvu kwa sare ya 1-1. Barcelona tayari imefuzu kwenda hatua ya 16 bora.
Post a Comment