0
 
Mshambuliaji wa Wilfried Bony amesaini mkataba wa miaka minne unusu kuichezea timu Manchester City wenye thamani ya paundi 28 milion.

 Manchester City are set to sign Wilfried Bony after ongoing talks with Swansea City over a £30million deal
Bony amekubali mkataba huu na atavaa jezi namba 14 iliyokua ikitumiwa na nyota na Javi Garcia.
 
 Bony, who is wanted by Manchester City, and his  team-mates celebrate his goal at Anfield against Liverpool
Baada kusajiliwa na City Bony ameelezea  "Ni heshima kubwa kuwa hapa na ni changamoto kwangu".
 
 Bony scores past Manchester City goalkeeper Joe Hart in November as Swansea lost 2-1 at the Etihad
Mchezaji huyo mwenye miaka 26 alitua ligi ya England mwaka 2013 akijiunga na klabu ya Swansea akitokea Vitesse Arnhem ya Uholanzi kwa ada ya uhamisho ya paundi 12 milioni na kuwa moja kati ya wafungaji bora katika ligi kuu.
 
 Bony celebrates after scoring for Swansea against QPR during the 1-1 draw at Loftus Road on New Year's Day
Kwa uhamisho huu unamfanya Bony kuwa mmoja kati ya wachezaji wa Afrika wanaolipwa pesa nyingi duniani katika mchezo wa soka.

Post a Comment

 
Top