
WEKUNDU
wa Msimbazi Simba wametinga fainali ya kombe la Mapinduzi kufuatia
kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Polisi katika mechi
wa nusu fainali ya kombe hilo iliyomalizika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.
MABINGWA
wa zamani wa Tanzania mara mbili mfululizo, 1999 na 2000, Mtibwa Sugar
ya Morogoro wametinga fainali ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2015
kufuatia kuitandika JKUya Zanzibar penalti 4-3.
Post a Comment