0
Valdes spent 12 successful years with Barcelona before leaving this summerKatika kile kinachoonekana kuwachanganya sana  wadadisi wengi wa masuala ya soka Ulimwenguni, wafuatiliaji kadhaa wa masuala ya soka wameshikwa na hali ya sintofahamu kufuatia mlinda mlango wa zamani wa klabu ya Barcelona na nchini Hispania na timu ya taifa ya Hispania kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha klabu hiyo.

Valdes was wearing a Red Devils snood as he trained at United's Aon Training Complex in Carrington 
Kwenye mazoezi hayo ya mwisho mwisho ya klabu ya Manchester United imeshuhudiwa mlinda mlango huyo akifanya mazoezi na kikosi hicho ambacho kinajiandaa na mchezo dhidi ya Liverpool.

Victor Valdes (left) trains with the Manchester United squad on Friday afternoon 
Miezi kadhaa iliyopita mlinda mlango huyo alishuhudiwa akiwa ameketi kwenye jukwaa kuu la uwanja wa Old Traford kwenye sehemu maalumu inayokaliwa na watu maarufu na wachezaji wa akiba wa timu hiyo.

The Spanish goalkeepr watches from the stands during United's draw with Chelsea in October  
Ziko taarifa zinazo muhusisha mlinda mlango huyo kutakiwa na vilabu vya Juventus ya nchini Italia na  Queretaro  ya nchini Mexico.

 United staff believe Valdes (centre, next to Wayne Rooney) is about a week away from being fit

Post a Comment

 
Top