0

Kituo cha utangazaji la nchini Marekani ESPN limewataja wanandinga takribani watano kutoka vilabu mbalimbali kuwania nafasi ya mchezaji bara wa kituo hicho.

Mshambuliaji raia wa Ureno anayekipiga kwenye klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo alishinda tuzo hiyo mnamo mwaka 2013 na sasa naye pia amejumuishwa kwenye orodha hiyo ambayo wasomaji watatakiwa kupiga kura kabla ya mshindi kutangazwa.

Orodha kamili ya wachezaji hao inawajumuisha.

1. Cristiano Ronaldo:

 Cristiano Ronaldo has been named on the Ballon d'Or shortlist after another stellar year


2.  Lionel Messi:

 Four-time Ballon d'Or winner Lionel Messi has also been named on the final shortlist this year 

3.   Manuel Neuer:

 Bayern Munich goalkeeper Manuel Neuer completes the final shortlist for the prestigious award

4.   Philipp Lahm:
 

Lahm only started playing in midfield after Pep Guardiola swapped his position

5. James Rodriguez:

One lucky fan managed to get up close and personal with the Real Madrid and Colombia midfielder

Post a Comment

 
Top