Van
Gaal, anatarajiwa kutumia kiasi cha paundi milioni 64 ili kukiimarisha kikosi chake na kiungo Kevin Strootman likiwa ndio chaguo lake namba moja katika kuimarisha sehemu ya ulinzi wa klabu ya Manchester United.
Mholanzi huyu ameanza kulaumiwa miongoni mwa mashabiki wa klabu ya Manchester United kutokana na mwanzo mbovu wa ligi kufuatia kipigo cha jumla ya magoli 5-3 kutoka klabu ya Leicester City siku ya Jumapili, kipigo ambacho wadadisi wa masuala ya soka wanakifananisha na kipigo cha Daudi na Goliathi ukilinganisha thamani ya vikosi vya timu hizi mbili.

Japokuwa Van Gaal anatambua kuwa anahitaji kumnunua mlinzi wa kati kuimarisha safu ya Ulinzi ya klabu hiyo lakini bado anamtazama kiungo Mholanzi anayekipiga kwenye klabu ya AS Roma Kevin
Strootman, kama ni mmoja wa masuluhisho yake ya kukiimarisha kikosi hicho cha mashetani wekundu.
Post a Comment